Categories
Swahili

Harry na William wakanusha madai ya unyanyapaa

Mwanamfalme Harry na mwanamfalme William wamekanusa taarifa ya uongo iliyoandikwa katika gazeti la Uingereza kuhusu mahusiano yao. Maelezo yaliyotolewa kwa niaba ya mwanamfalme Harry na William ameelezea taarifa hiyo kuwa ya kizushi na iliyotumia lugha ya kichochezi. Taarifa hiyo imekuja baada ya chanzo cha taarifa kuliambia gazeti la Times kuwa mwanamfalme Harry alipata msukumo wa […]